Friday, July 10, 2015

Semina ya Ujasiriamali Mbeya 18 July 2015


Karibuni kwenye Semina ya ujasiriamali
1.Je umechoka kuwa na kipato kidogo ?
2.Je unataka kuwa na uhuru wa kifedha?

 Njoo uwasikilize watalaam kutoka Dar es Salaam watakutatulia tatizo lako la kifedha kwa kukupa mbinu mbadala
Eneo la tukio: Paradise Hotel
Siku ya Jumamosi 18th July 2015.
Muda kuanzia sa Tisa  alasiri hadi sa kumi na mbili (03:00- 06:00)
Kiingilio: Bure njoo na mwenzako aje na mwenzake
Kwa mawasiliano zaidi tutumie email na namba yako ya simu kwenye contact zetu

No comments:

Post a Comment