1. KING OF COFFEE
Ni Kahawa iliyoongezwa kiasi kikubwa cha uyoga mwekundu
- Inasaidia kuongeza nguvu za kiume
- Inasaidia kuzuia kupatwa/kupata tezi dume kwa akina Baba/Mama.
2. CAFÉ SUPREME
Ni Kahawa iliyochanganywa na mmea unaoitwa Ginseng ambao unasaidia kinga ya mwili kupambana na maradhi yakiwemo Kansa, Malaria Sugu, Vidonda vya tumbo, Kisukari na HIV. Pia husaidia mmeng’enyo wa chakula.
3. HOT CHOCOLATE
Bidhaa hii hutengenezwa na COCOA hivyo haina kafeini. Kinywaji hiki ni muhimu sana kwa wajawazito, wakina mama wanaonyonyesha na watoto waliofika umri wa kula chakula. Husaidia uelewa wa akili (kuchangamsha ubongo) Huondoa sumu mwilini pia huongeza nguvu.
4. CAFÉ MOCHA & LATTE
Bidhaa hizi zimechanganywa na sukari isiyo na madhara (sweetner) na maziwa yasiyo na mafuta (low Fat)
- Husaidia msukumo wa damu mwilini, zinasaidia uwiano sahihi wa mafuta yanayotakiwa mwilini, kuondoa uchovu, kupata usingizi bora na kutunza ngozi na kupunguza kasi ya uzee.
5. RED & GREEN TEA
Chai hii imetokana na majani ya chai machanga ambayo huchumwa kabla hayajakomaa.
Husaidia kupunguza uzito wa mwili, uvimbe tumboni (fabroid), UTI
6. BLACK COFFEE
Kahawa hii hutumika sana kwa watu ambao hupendelea kahawa isiyo na mchanganyiko wowote. Husaidia wenye Kisukari, ugonjwa wa ini na pia huongeza ufanisi katika tendo la ndoa.
No comments:
Post a Comment